YESU ANAWEZA KUKUTOA KATIKA SHIDA ULIYONAYO, AMINI TU!

My photo
We're delightly to preach the word of almighty God

Saturday, April 23, 2016

CBGA WAWATAKIA MTIHANI MWEMA KIDATO CHA SITA BAGAMOYO SEKONDARI

Ikiwa imebakia siku nane kabla ya kuingia kwenye MTIHANI wa taifa , CBGA wamewatakia KIDATO cha sita Bagamoyo sekondari MTIHANI mwema, akizungumza nami aliyekuwa mwenyekiti wa Casfeta Bagamoyo 2013/2014 Mh  Nelson Amsi Malolo na mwenyekiti wa CBGA usiku wa Leo amesema kwa niaba ya CBGA ninapenda kuwatakia MTIHANI mwema, wamtumaini Mungu Naye atawapigania nao watanyamaza kumyaaa!

No comments:

Post a Comment