YESU ANAWEZA KUKUTOA KATIKA SHIDA ULIYONAYO, AMINI TU!

My photo
We're delightly to preach the word of almighty God

Thursday, April 14, 2016

UJUE WASIFU WA DR AYUBU MATHIAS KWANDIKWA MKURUGENZI MTENDAJI CBGA, HAPA INJILI TU NA INJILI KWA WATU WOTE








 
Huyu ndiye Dr Ayubu Mathias Kwandikwa Mkurugenzi wa  "injili kwa watu wote" na mwanzilishi wa "HAPA INJILI TU" , wasifu wake ni Daktari , amesoma shule ya msingi Lutozo-Katoro Mkoani Geita, shule ya Sekondari Katoro (2009-2012) na Bagamoyo high school (2013-2015), Chuo kikuu cha Mtakatifu Augustino tawi la Songea - kitivoo cha udaktari-Doctor of Medicine(2015-2020).

1 comment: