YESU ANAWEZA KUKUTOA KATIKA SHIDA ULIYONAYO, AMINI TU!

My photo
We're delightly to preach the word of almighty God

Saturday, June 16, 2018

Agano la Kimungu, hili ni lile agano ambalo mtu anafanya na Mungu katika madhabahu yake, mtu anakuwa anahitaji msaada kutoka kwa Mungu hivyo anafanya makubaliano yake na Mungu ili Mungu aingilie kati katika shida yake, au mtu anafanya agano na Mungu kwa sababu tu kamuona Mungu akifanya vitu katika maisha yake; mfano mzuri ni Yoshua pale alipowaambia wana waisraeli kuwa “Chagueni hivi leo mtakaye mtumikia; lakini mimi na nyumba yangu tutamtumikia BWANA” , Yoshua aliapa yeye kama yeye lakini pia katika kuapa kwake akaiapia na familia yake (mke na watoto wake).
   Agano la kishetani, hili nia agano baina ya mtu na miungu, mapepo, majini,na mizimu. Na agano hili linaambatana na kutoa sadaka ya uhai wa mtu au wanyama wengine. Viapo vilivyopo  hapa
















Kumekuwa na shida kubwa sana kwa watu kubadili historia za maisha yao, vipo vifungo mbalimbali ambavyo mtu kabla hajampokea Yesu kristo anakuwa kafungwa kwenye hivyo vifungo. Hasa mtu kama alikuwa na tabia mbaya ambazo karibia kila mtu akawa anafahamu kuwa yeye ni mtu mwenye tabia hiyo na hasa watu wakaanza kutazama uwezekano wa kuweza mtu huyo kubadilika.


No comments:

Post a Comment