YESU ANAWEZA KUKUTOA KATIKA SHIDA ULIYONAYO, AMINI TU!

My photo
We're delightly to preach the word of almighty God

Wednesday, March 23, 2016

Dr Ayubu Mathias, Alberth Msengezi , Dr Meshaki Anacleth , Dr Nemes Makanza na Zachariah Jonathan, kuanzisha harambee ya kumkaanga shetani

Dr Ayubu Mathias (pichani hapo juu) pamoja na wenzie wamedhamilia kufanya operation kubwa ya injili kwa kauli mbiu ya "HAPA INJILI TU"  kanda ya ziwa kuanzia mwezi wa Tisa mwaka huu.

No comments:

Post a Comment