YESU ANAWEZA KUKUTOA KATIKA SHIDA ULIYONAYO, AMINI TU!

My photo
We're delightly to preach the word of almighty God

Tuesday, March 8, 2016

KARIBU SANA KATIKA HII BLOG YANGU MPYA, AMBAYO INAHUSIKA NA NENO LA MUNGU:

Blog hii sawa sawa na jina lake kuwa " HAPA INJILI TU" , ni baada ya kuona wengine wanasema hapa kazi tu, lakini sisi tulio wana wa MUNGU lazima tuseme hapa kwaajili ya kumsifu na kumtukuza Mungu. Hawa wanataka magari , na Hawa wanataja Mali sisi tunalitaja jina la YESU, mtaifahamu kweli NATO kweli itawaweka nuru, YESU ndiye njia ya kweli na uzima, MTU haji kwa baba ila kwa njia ya YESU:

1 comment:

  1. Ninapenda sana kumtumikia MUNGU wa mbinguni aliezifanya mbingu na nchi

    ReplyDelete